Mafunzo ya wanamitindo ufukwe wa Mbalamwezi!!

Wanamitindo waliopatikana kupitia Kampuni ya Black Fox ya jijini Dar es Salaam wakionesha mavazi yao ikiwa ni mara ya kwanza kuonesha mavazi tangia waanze kushiriki mafunzo hayo ya uanamitindo yanayoendeshwa na Kampuni hiyo, tukio hilo lilifanyika juzi katika ufukwe wa Mbalamwezi uliopo jijini Dar es Salaam.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. Jamae! Huo wimbo maarufu sana hapo bongo unaitwa alamba unapatikanaje mtandaoni? Hebu tuhabarishane!

Post a Comment