KAZI NI KAZI TU HATA KAMA USINGIZI UTAKUWA TAABU KUUPATA!!

Kazi ya kuendeleza kazi ya libeneke la kublogu siyo lelemama ni kazi ngumu inayotakiwa kujitolea kabisa inahitaji muda, wakati mwingine hata kitanda kinakuwa kazi kukitumia kama unavyoona katika picha hii ambayo nimepigwa usiku huu na mpiganaji wa www.sufianimafotoblogspot.com bila mimi mwenyewe kujijua nikiwa kazini naupload picha mara baada ya kuzipiga katika onyesho linaloendelea usiku huu hapa New Msasani Club jijini Dar es salaam asante mpiganaji Muhidin Sufian.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment