AJALI KAZINI JAMANI!!

Gari la polisi lenye namba PT 1377 likiwa limepinduka na kutumbukia kwenye mtaro katika barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo haikufahamika mara moja kama lilikuwa kwenye doria ya kawaida au vipi hata hivyo wasamalia wema walimnasua Dereva wa gari hilo ambaye alionekana kupoteza fahamu kwa mshituko.
watu wakiwa wamelizingira gari hilo mara baada ya kupata ajali katika barabara ya Kirwa.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. kwa raia uzembe barabara je kwa polisi ajali hiyo wataita bahati mbaya ni lazima ichunguze na nahisi dreva aliyekuwa akiendesha gari huku amelewa na ikizingatia imetokea usiku wa manane haya mie yangu macho

Post a Comment