TUMEPATA MAFANIKIO!

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa (BFT) Makore Mashaga akizungumza na wa andishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati walipozungumzia mafanikio mbalimbali ya shirikisho hilo mara baada ya uongozi mpya kuingia madarakani kushoto ni Mjumbe wa BFT Koba Kimanga.
Pia wqaliishukuru Serikali kwa kuwaunga mkono katika mipango yao ya maendeleo na kwamba kwa sasa mabondia wanafanya mazoezi kwa kiwango cha juu sana jambo ambalo litapelekea kufanya vyema mara watakapoingia kwenye mashindano yoyote.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment