MKUTANO MKUU WA MWAKA WA TPS SACCOS LTD WAFANYIKA JIJINI!!

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Mbarak Abdulwakil (mwenye suti) akibadilishana mawazo na Kamishna Mkuu wa Magereza nchini Augustino Nanyaro (kulia) walipokutana jana katika ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa TPS Saccos Ltd. Picha na Mwanakombo Jumaa-Maelezo.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa TPS Saccos Ltd wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Mbarak Abdulwakil jana wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kuchagua Viongozi wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Watumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara. (TPS Saccos Ltd)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment