Rais wa Sudan Omar El Bashir leo atatia saini mkataba wa amani na kundi kubwa la waasi katika jimbo la Darfur, Justice And Equality Movemnet{JEM}.
Azimio la amani kati ya pande hizo mbili limeafikiwa katika nchi jirani ya Chad ambayo kwa muda mrefu imeaminiwa kuunga mkono shughuli za waasi wa Sudan
Chini ya mkataba huu waasi hao wamekubali kusitisha vita pamoja na kugawana madaraka na rasilimali na serikali. Imeafikiwa pia kuwa waathiriwa wa machafuko ya Darfur watafidiwa.
Sherehe ya kutia saini itafanyika mjini Doha, Qatar ambapo mazungumzo ya amani ya Darfur yamekuwa yakifanyika.

0 comments:
Post a Comment