MATUKIO YA KIBITI MKOANI PWANI NA DAR!!

Majasiriamali wa Vikapu Bakari Matumbwili akijaribu kutafuta wateja katika stendi ya mabasi Kibiti Mkoa wa Pwani.ili aweze ajipatie fedha na kujikimu katika maisha .Picha na Mwanakombo Jumaa wa Maelezo.
Baadhi ya wazoa taka katika eneo la Mbagala Kilungule Wilayani Temeke Mkoani Dar es salaam mwishoni mwa wiki camera yetu imewanasa wakizoa taka bila ya kuwa na vitendea kazi , jambo ambalo linahatarisha afya yao sijui halmashauri ya Manispaa ya Temeke inafikiria nini kuhusu afya za watendaji wao hawa.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment