Balozi wa Marekani amtembelea Spika Samwel Sitta Dodoma!!

Spika wa Tanzania Samwel Sitta(kulia) akiagana na Mgeni wake Balozi wa Marekani nchini Alfonso Lenhardt (kushoto) aliyekuwa amemutembelea Ofisi ya Bunge jana mjini Dodoma na kujifunza shughuli mbalimbali ikiwemo uendeshaji wa vikao vya Bunge la Tanzania.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma
Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samwel Sitta (kulia) akibadilishana mawazo na Mgeni wake Balozi wa Marekani nchini Alfonso Lenhardt (kushoto) baada ya Balozi huyo kutembelea Bungeni jana mjini Dodoma na kujionea moja vikao vya Bunge.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment