SAFARI MOJA IKAANZISHA NYINGINE KWA JAMAA HUYU!!

Mkazi mmoja wa jiji la Dar es alaam ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiwa ameshikilia chupa yake ya bia aina ya safari lager na glasi ya pombe hiyo huku akiwachekesha wapita njia katika mtaa wa Samora, haikufahamika kama pombe hiyo alitoka nayo kwenye klabu gani iliyo karibu na jengo la IPS mtaa wa Samora tukio hilo limetokea leo asubuhi majira ya saa 4:30.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

3 comments:

  1. ndo maana maendeleo bongo africa hinhaa.weee saa nee asubuhi wenzio wapo kazini unakula mi biaa sasa ww kazi unafanya saa ngapi au ndo majambazi hayo.

    mdau boxini

  2. Bonjour! Shannan Gray . payday loans

  3. bad credit loans toronto This website is the right I enjoyed reading it so much
    AAA Toronto Payday Loans 1172 Bay St #101, Toronto, ON M5S 2B4 (416) 477-2817

Post a Comment