EMMANUEL EBOUER AKIAGANA NA MWENYEJI WAKE!!

Emmanuel Eboue mcheezaji wa Ivory Coast akiagana na mwenyeji wake ambaye jina lake halikupatikana mara moja wakati alipokuwa akitoka kwenye Hoteli ya Kempinski kuelekea kupanda gari kwenda uwanja wa taifa wakati timu yake ya Ivory Coast ilipopambana na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars hata hivyo kocha wake alionekana kumueleza kitu pengine hakupendezwa na kuagana kwao huko.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

5 comments:

  1. duuuuuuh! mademu wa kibongo blaaa, yaaani wameshawakamata wachezaji wa Ivory coast? kudadadeki.

  2. aangalie tu wasije mpiga mtungo

  3. Hapo anaulizia kama na baadae aje au atakua amechoka na mechi.

  4. jamani nimepigiwa simu na kuambiwa kkuwa dada yangu yupo kwenye blog lakini nataka kuwaambia hawa mlio comment humu na pia huyu aliepiga picha hii kuwa huyu alie pichani ni dada yangu anaitwa yasmin na ni mke wa mtu. Eboue ni rafiki sana wa mume wake na yeye ni rafiki sana wa mke wa eboue. So please mkiandika kitu angalieni sana hamjui watu wanajuanaje!!!

  5. JAMANI JAMANI MBONA MANAMIDOMO MICHAFU HIVYO WEWE UNAEJIONA MWEMA SANA KULIKOWENZAKO UNAYAJUA YAKO WANAYOKUSEMA NAYO WATU HUYO NI DADA YAKE NA EBOUE AMABE AMEMLEA HUKO LONDON MIAKA NEDNA RUDI ULIZENI WAKATI MWINGINE SI KUROPOKA TU KWA VILE MIDOMO NA MIKONO YA KUANDIKA MMEPEWA LOH HAYA HAMNA ULIZENI SI KUKDAKIA TU JU JUU

Post a Comment