Taasisi hiyo ya kifedha inatoa mikopo kwa makundi mbalimbali kama vile wajasiliamali, wafanyakazi wa kima cha chini, Jeshi la Polisi, Mikopo ya Nyumba na Ada za shule kwa watoto na mikopo ya uwezeshaji kama vile SACCOS na mikopo hii ni kuanzia shilingi 100.000 mpaka milioni 20.000.000
PTF YAIPIGA JEKI BUIBUI QUEENS SHILINGI 300.000!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment