MREMA APINGA KAULI ZA VIONGOZI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE FAUNDATION!!

Mwenyekiti wa chama cha TLP Taifa Mh. Augustino Lyatonga Mrema akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo wakati alpopinga kitendo cha Viongozi wa Tasisi ya Mwalimu Nyerere Faundation kumshutumu Rais Jakaya Kikwete kwamba utawala wake ni dhaifu na anahitaji kuchukua maamuzi mazito katika utawala wake ili kuinusuru nchi na ufisadi, hata hivyo mwenyekiti huyo wa TLP amesema kufanya hivyo ni kuhatalisha usalama wa nchi kwani kuna utaratibu wa kumkosoa rais ndani ya chama chao cha Mapinduzi CCM na kama hawawezi basi wajiunge na vyama vya upinzani ili kuendelea na shughuli za Kisiasa.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

2 comments:

  1. ANA MSONGO WA MAWAZO UNAOTOKANA NA KUUMWA KISUKARI AMBAO SASA UNAMSABABISHA KUSEMA HOVYO.

  2. hee jamani huyo mzee sasa anaelekea kubaya mbona kababuka sana usoni kulikoni mmmm ninawasiwa na hilo

Post a Comment