Sherehe hizo zimefanyika leo katika bustani za gereza la ukonga. Hizo zote ni juhudi za pamoja kati ya jeshi la magereza kupitia Wizara ya mambo ya ndani pamoja na wadau mbalimabli nchini katika kuwasaida wafungwa kubadili tabia wakiwa gerezani na kuhakikisha kuwa wanatoka wakiwa wema na wenye manufaa na walio tayari kujenga tiafa katika jamii zao.
MFUNGWA SEMAYOGA ATUNUKIWA SHAHADA YAKE YA SHERIA KUTOKA CHUO KIKUU HURIA!!
Posted by
ADMIN
Sherehe hizo zimefanyika leo katika bustani za gereza la ukonga. Hizo zote ni juhudi za pamoja kati ya jeshi la magereza kupitia Wizara ya mambo ya ndani pamoja na wadau mbalimabli nchini katika kuwasaida wafungwa kubadili tabia wakiwa gerezani na kuhakikisha kuwa wanatoka wakiwa wema na wenye manufaa na walio tayari kujenga tiafa katika jamii zao.
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment