SIKUKUU YA EID EL HAJJ!

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA liwametangazia Wislamu na wananchi wite kwamba mwandamo wa mwezi Dhul Hajj umeonekana tarehe 18/11.2009 na kuashiria kuanza kwa mwezi mtukufu wa dhul Hajj (Mfungo Tatu)
Kwa maana hiyo sherehe ya sikukuu ya Eid el hajj itakuwa mwezi wa 10 dhul hajj sawa na Taerhe 28/11/2009,
Sala na Baraza la Idd kitaifa zitafanyika katikamsikiti wa Alfarouq uliopo Bakwata Makao Makuu Kinondoni Dar es alaaam , kuanzia saa 1.30 asubuhi na kufuatiwa na Baraza la Idd hadi saa 3.00 asubuhi.
Baraza kuu la Waislamu wa Tanzania BAKWATA linawatakia Eid njema waislamu wote na watanzania kwa ujumla
Imetolewa na Sheikh Ismail Habib
KAIMU MUFTI WA TANZANIA

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment