Meneja Uhusiano wa Serengeti Breweriers Teddy Mapunda kulia akikabidhi mfano wa cheki yenye thamani ya shilingi Milioni 35 kwa meneja mradi wa Kisura wa Tanzania Grace Kilembe huku kisura wa Tanzania 2008 Emmy Nelau na Meneja mkuu wa Serengeti Winston Kagusa waliosimama katikati wakishuhudia tukio hilo lililofanyika kiwandani hapo, aliyesimama kushoto ni Brand Manager wa Kampuni hiyo Nandi Mwiyombela, shindano la kisura wa Tanzania linatarajiwa kufanyika Disemba mosi mwaka huu kwenye Hoteli ya Movenpick jijini Dar se salaam.SERENGETI YADHAMINI KISURA WA TANZANIA KWA MILIONI 35!!
Posted by
ADMIN
Meneja Uhusiano wa Serengeti Breweriers Teddy Mapunda kulia akikabidhi mfano wa cheki yenye thamani ya shilingi Milioni 35 kwa meneja mradi wa Kisura wa Tanzania Grace Kilembe huku kisura wa Tanzania 2008 Emmy Nelau na Meneja mkuu wa Serengeti Winston Kagusa waliosimama katikati wakishuhudia tukio hilo lililofanyika kiwandani hapo, aliyesimama kushoto ni Brand Manager wa Kampuni hiyo Nandi Mwiyombela, shindano la kisura wa Tanzania linatarajiwa kufanyika Disemba mosi mwaka huu kwenye Hoteli ya Movenpick jijini Dar se salaam.You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment