Watangaji wa Redio Clouds Zamaradi Mketema kushoto na Ephraim Kibonde katikati wakishoo love na Meneja uhusiano wa Serengeti Breweriers Teddy Mapunda wakati walipokuwa wakiongea moja kwa moja na watangazaji waliopo Studio kuu Mikocheni maarufu kama (Mjengoni) leo asubuhi kuzungumznia maandalizi ya tamasha kubwa la Fiesta litakalofanyika Novemba 21 katika viwanja vya Posta Kijitonyama, kulia ni meneja matukio wa kampuni hiyo Bahati Singh.FIESTA ONE LOVE NI KUSHOO LOVE TU!!
Posted by
ADMIN
Watangaji wa Redio Clouds Zamaradi Mketema kushoto na Ephraim Kibonde katikati wakishoo love na Meneja uhusiano wa Serengeti Breweriers Teddy Mapunda wakati walipokuwa wakiongea moja kwa moja na watangazaji waliopo Studio kuu Mikocheni maarufu kama (Mjengoni) leo asubuhi kuzungumznia maandalizi ya tamasha kubwa la Fiesta litakalofanyika Novemba 21 katika viwanja vya Posta Kijitonyama, kulia ni meneja matukio wa kampuni hiyo Bahati Singh.You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment