MAMA TUNU PINDA ZIARANI MKOA WA LINDI

Mke wa Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda Mama Tunu Pinda akimkagua macho mtoto Nasra Muhidin wa Kituo cha yatima na waathirika wa ugonjwa wa ukimwi cha UWAVITA cha Liwale wakati alipokitembelea akiwa katika ziara ya Waziri Mkuu mkoani Lindi.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

2 comments:

  1. ahsante kwa habari nzurii...

  2. ahsante kwa habari nzuri..

Post a Comment