MAMA JAKAYA AKIWA TRNIDAD & TOBAGO

Mama Salma Kikwete akikaribishwa kwa kukumbatiwa na Mke wa Waziri wa Trinidad na Tobago, Seneta Hazel Manning wakati Mama Kikwete alipowasili kwenye Kituo cha Kidiplomasia mjini Port of Spain kuhudhuria Kongamano la Wajasiriamali lililoandaliwa nchini humo, Jumamosi, Novemba 28, 2009, na Seneta huyo kama sehemu ya shughuli za wake wa wakuu wa Serikali wanaohudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuia ya Madola. (Picha na Juma Kengele, Ikulu)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment