KIUNGO WA HARAMBEE STARS JAMAL MOHAMED ALIPOKUJA KUTETA NA SIMBA!!

Mmoja wa wanachama waandamizi katika Timu ya Simba na kundi la (Friends of Simba) Evance Aveva Kulia akimpokea mchezaji mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars Jamal Mohamed alipowasili katika uwanja wa ndege wa mwalimu J.K.Nyerere mwishoni mwa wiki iliyopita, Jamal Mohamed alikuja nchini kwa mazungumzo na uongozi wa Timu ya Simba ili kujiunga nayo katika dirisha dogo la usajiri, tayari Simba imeshamtwaa mchezaji Mike Baraza aliyekuwa akiichezea timu ya Yanga baada ya mkataba wake kumalizika.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment