Shikito kupamba shoo ya Ferre Dar!!


MWIMBAJI nyota chipukizi wa Kongo Makinu Kombo ‘Shikito’ anatarajiwakuongozana na mkali wa bolingo kutoka nchini humo, Ferre Gola Batangire.Akizungumza mjini Dar es Salaam jana, msaidizi Kitengo cha Uhusiano,Udhamini na Matukio wa New Habari, Aziza Seif, alisema Shikito ni miongonimwa wanamuziki 17 watakaokuja nchini kwa mwaliko wa New Habari(2006)Ltd.“Katika orodha ya wanamuziki 17 ambao Ferre ametutumia majina yake, yupopia Shikito lakini mtoto mwingine aitwaye Ilunga hatakuja kwenye msafarahuu,” alisema.Aziza Aliwataja wanamuziki wengine wanaokuja na Ferre kuwa ni pamoja naFreddy Makola Linakasi, Nikodeni Kanday Ngoy, Olenga Makiese, ClizoKalonda Lopeta, Sungu Mbobolo, De Gaule Matima Makitela, Guy NgolaMawesele, Awulu Wala Tshipanga Wale, Ngwanzu Bavuidibio Gaza, DebosSunguesabena wa Kayembe, Mabiala Mobele, Mchele Mkelele Kitongo naChristian Solo Kabongo Muyambi.Wengine ni Vicky Moleka Leta, Patricia Isako Apakati, Renate KungaMuwangu, Nancy Mbemba-Lohuma.Shikito ni kijana mdogo ambae amejichukulia umaarufu mkubwa sana ndani nanje ya Kongo kwa kuwa mwimbaji mahiri mwenye umri mdogo zaidi katika angaya muziki wa dansi afrika.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment