Rais Kikwete asherekea Siku ya kuzaliwa kwake!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlisha keki Mama Salma Kikwete katika hafla fupi ya kifamilia iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni kusherekea miaka 59 ya kuzaliwa kwake.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na wanawe Rashid Kikwete Chodo (aliyemshika mkono),Khalfan Kikwete,( wapili kushoto) na Lulu Khalfan Kikwete ambaye ni mtoto wa mdogo wake.Aliyekaa pembeni nyuma ya Rais akiangalia ni Mama Salma Kikwete aliyeandaa hafla ya kifamilia ya kumpongeza Rais kwa kutimiza umri wa miaka 59 jana.



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment