Rais Kikwete akionyesha upendo kwa watoto kwa kumfunga kamba za viatu Mwanafunzi huyu!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfunga kamba za viatu Ramadhan Adam ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili shule ya Msingi Iringo iliyopo mjini Musoma wakati Rais alipokwenda kufungua tawi la wakereketwa wa CCM,Kikindi cha Maisha Plus cha eneo la Kitaji,manispaa ya Musoma mjinji leo asubuhi (picha na Freddy Maro)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment