LUXURY PUB (TEMEKE) KUWAKA MOTO KWA MASUMBWI KESHO!!

Bondia Rashid Ally kushoto na Antony Mathias wakitambiana wakati walipopima uzito kwenye ukumbi wa Luxury Pub leo mabondia hao wanatarajia kupanda ulingoni kesho kwenye ukumbi huo katika mpambano wa uzito Kg 57 Round 8 mpambano huo pia utahusisha mapambano mengine kadhaa ya utangulizi na kukutanisha mabondia kama vile Omary Bomba VS RamadhanMashudu Kg 52 Round 4, Ramadhan Kumbele VS Juma Selemani kg52 Round 6, Mahinya Ramadhan VS Hussein Pazi Kg63 Round 6 na Obote Ameme VS Hassan Kidebe kg57 Round 6 katikati ni msimamizi wa masumbwi hayo Bw. Ustaadh.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment