Fiesta yafanyika musoma na kuzindua frikwensi mpya za redio Clouds

Mkurugenzi wa Clouds Media Group/Prime Time Promotions Bw.Joseph Kusaga akimsikiliza Mstahiki meya wa Musoma Bw. Swahibu Mohamed Iddi alipozindua tamasha la fiesta 2009 lililokwenda sambamba na utambulisho wa frikwensi mpya za redio Clouds Fm mkoa wa Mara ambayo ni 98.6
Msanii kutoka kundi la The Familia Chid Benz akikamua kwenye tamasha la fiesta usiku wa kuamkia leo
Umati wa watu uliofika kwenye tamsha la fiesta one love 2009 usiku wa kuamkia leo

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment