CHANGIA SIMBA NA YANGA KWA KUJISAJIRI NA M-PESA

Meneja Udhamini na wa Vodacom Tanzania Emilian Rwejuna akizunngmza na wanahabari katika makao makuu ya kampuni hiyo jengo la PPF Tower wakati walipozindua rasmi kampeni ya kuzichangia timu za Simba na Yanga kwa kujisajiri na M-Pesa na kuingia kwenye bahati nasibu itakayokufanya ushinde na kujipatia Tiketi za kuingilia mpirani kwa ajili ya pambano la timu hizo litakalofanyika kwenye uwanja wa Taifa katika mfurulizo wa michezo ya ligi kuu ya Vodacom utakaochezwa jumamosi oktoba 31 jijini Dar es salaam au kujishindia fulana za timu unayoipenda, kulia ni mkuu wa kitengo cha M- Pesa Bw. Flanklin Bagalla.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment