VODACOM MISS TZ KUNYAKUA SUZUKI GRAND VITARA

Mkurugenzi wa masoko wa Vodacom Ephraim Mafuru, na Mkurugenzi mkuu Shivacom Parthban Shandrav kushoto wakimkabidhi Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundenga funguo za gari ya zawadi ya Miss Tanzania ambayo ni Suzuki Grand Vitara yenye tahama ni ya shilingi Milioni 53.2 ambayo mshindi wa shindano hilo atanyakua mara baada ya kutangazwa rasmi hapo oktoba 2 mwaka huu.
Mshindi wa pili ataondoka na kitita cha shilingi miloni 4.0 na mshindi wa tatu atanyakua shilingi miloni 2.4 jumla ya zawadi kwa warembo wote mwaka huu itakuwa ni shilingi milioni 98
Warembo wa wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania wakiwa wamelizunguka gari ambalo litatolewa kama zawadi kwa mshindi wa shindano hilo


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment