USAFIRI WA WAREMBO VODACOM MISS TANZANIA 2009 HUU HAPA!!

Hiki ndiyo chuma kinachowabeba wanyange wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009 FULLSHANGWE imekinasa mitaa ya Posta mpya jioni hii kikivinjari katika mitaa hiyo, warembo hao kwa sasa wako kambini kwenye Hoteli ya Girrafe Ocean View iliyoko Kunduchi Beach na shindano hilo linatarajiwa kufanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City Oktoba 2 jijini Dar es salaam.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment