VODACOM MISS TANZANIA WAANZA KUTEMBELEA HIFADHI ZA WANYAMA!!

warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania wakiwa karibu na hifadhi ya Kilimanajaro Marangu wakati wa ziara yao ya kitalii katika mbuga za wanyama hii ilikuwa ni mbuga yao ya kwanza kuingia kabla ya kuendelea na safari yao ambapo watatembelea pia hifadhi za Ngorongoro mkoani Arusha, Bodi ya Utalii nchini (TTB) ambayo ndiyo yenye dhamana ya kusimamia utalii nchini ni moja wa wadhamini wa shindano hilo ambapo wameipatia Miss Tanzania jumla ya shilingi Milioni 108 kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kufanikisha shindano hilo mwaka huu. (Picha kwa hisani ya Sophia Production)

Warembo wakiwa na baadhi ya watalii kutoka mataifa mbalimbali wakijiandaa kupanda mlima Kilimanjaro

Warembo wakivuka juu ya daraja la mto Wami kwa miguu hii ni moja ya utalii kwa vivutio vyetu hapa nchini


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment