SAMSUNG YAWAKABIDHI SIMU WAREMBO WANAOSHIRIKI VODACOM MISS TZ 2009!!

Mkurugenzi wa TIC Emmanuel Ole Naiko, akifafanuan jambo wakati alipokwenda kukabidhi simu zilizotolewa na kampuni ya simu ya SAMSUNG kwa Warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania linalotarajiwa kufanyika Oktoba 2 katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam, hafla hiyo ya kukabidhi simu ilifanyika kwenye kambi yao iliyoko Girrafe Ocean View Hotel Kunduchi leo
Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC Emmanuel Ole Naiko, akikabidhi Simu kwa Washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania, Zilizotolewa na Kampuni ya SAMSUNG leo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment