NIDHAMU MBOVU MICHEZONI ITADIDIMIZA VIPAJI VYETU!!

Mara nyingi kumekuwepo na ukosefu wa nidhamu michezoni kitu kinachopelekea kudidimia kwa vipaji vya wachezaji wengi nchini kutokana na utomvu wa nidhamu kama hawa Wachezaji wa Mpira wa Miguu wa Polisi Oyterbay, wakimpiga Mwamuzi wakati wa Mchezo na wenzao wa Timu ya Chang'ombe Polisi katika mchezo wao uliofanyika juzi.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment