HILI NDILO WANJA LA CITY STADIUM LITATUMIKA KWA KOMBE LA DUNIA 2010!

Huu ni uwana wa City uliopo Johanesburg Afrika Kusini na ni miongoni mwa viwanja vitakavyotumika wakati wa mashindano ya Kombe la Dunia 2010 yatakayoganyika nchini humo yakishirikisha mataifa mbalimbali ambayo kwa sasa yanaendelea na michezo ya kufuzu kwa ajili ya kushiriki Fainali hizo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment