Mpaka hukumu ya kesi inayowakabili askari polisi 9 na aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa Dar es asalaam Abdallah Zombe inaendelea ambapo jaji Salum Masati anayesoma hukumu hiyo toka mida ya saa tatu ilipoanza amekuwa akipitia vifungu mbalimbali ili kuhitimisha kesi hiyo hapo baadaye watu wengi wamejitokeza ili kusikiliza hukumu hiyo ambapo pia vyombo vya usalama haviko mbali kwani vimeimarisha ulinzi katika eneo la mahakama hiyo ili kuhakikisha kila kitu kinakwenda kwa amani mara itakapotolewa hukumu hiyo FULLSHANGWE itawaletea habari zaidi hapo baadae.WATU WAFURIKA KUSIKILIZA HUKUMU YA ZOMBE NA WENZAKE!!
Posted by
ADMIN
Mpaka hukumu ya kesi inayowakabili askari polisi 9 na aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa Dar es asalaam Abdallah Zombe inaendelea ambapo jaji Salum Masati anayesoma hukumu hiyo toka mida ya saa tatu ilipoanza amekuwa akipitia vifungu mbalimbali ili kuhitimisha kesi hiyo hapo baadaye watu wengi wamejitokeza ili kusikiliza hukumu hiyo ambapo pia vyombo vya usalama haviko mbali kwani vimeimarisha ulinzi katika eneo la mahakama hiyo ili kuhakikisha kila kitu kinakwenda kwa amani mara itakapotolewa hukumu hiyo FULLSHANGWE itawaletea habari zaidi hapo baadae.You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment