Mwakilishi mkazi wa shirika linaloshughulikia wakimbizi nchini UNHCR Bw. Yakoub El Hillo akikata utepe kama ishara ya makabidhiano ya magari na pikipiki kwa jeshi la polisi nchini ili kusaidia kupambana na uhalifu nchini, wanaoshuhudia kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Rawlence Masha, kushoto ni Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Said Mwema na katikati ni Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya Jinai (DCI) Robelt Manumba, makabidhiano hayo yamefanyika leo katika Makao makuu ya Wizara ya Mambo ya ndani ambapo UNHCR imekabidhi magari aina ya Toyota Prado 2 Toyota Hardtop 6 na pikipiki 10 vyote vikiwa na thamani ya Dola za kimarekani 241.000
UNHCR YAKABIDHI MAGARI NA PIKIPIKI KWA WIZARA YA MAMBO YA NDANI!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment