The only way for Bafana Bafana to win during the 2010 world cup!

Haya utani wa soka umeanza kabla ya kupigwa kwa kombe la dunia nchini Afrika Kusini mwaka 2010 kama unavyoona mdau, kuna mdau katutumia picha hii na kuomba tuweke kwenye ukurasa huu na akatutumia maneno hayo kama yanavyosomeka kwenye kichwa cha habari hapo juu, haya iangalieni hiyo na mtutumie maoni yenu! manake yeye ametoa mawazo yake juu ya ushindi wa timu hiyo ya Taifa ya Afrika Kusini (Bafanabafana) Je? wadau mnasemaje kuhusu hili!

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment