MKUU WA MKOA WA (DAR) WILIAM LUKUVI ATINGA MJENGONI!!

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Wiliam Lukuvi katikati akizungumza na Mkurugenzi wa Utafiti Clouds Fm Ruge Mutahaba kulia na Mmoja wa watangazaji wa redio hiyo Sebastian Maganga kushoto,wakati alipotembelea Mjengoni hapo kujionea shughuli mbalimbali zinzofanya na kituo hicho cha Redia maarufu nchini.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Wiliam Lukuvi akisalimiana na mtangazaji wa radio Choice Fm Baby Kabaye, Choice Fm ni moja ya vituo vinavyomililikiwa na Clouds Media Group, Lukuvi ametembelea leo kituoni hapo Mikocheni na kuijonea mambo mbalimbali yanayofanywa na kituo hicho (picha kwa hisani ya mdau Michuzi Junior)




You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment