MWANABLOGU ISSA MICHUZI ASHEREHEKEA KUZALIWA KWAKE!!

Mzee wa Vekesheni na Jikeki lake la Besdei jana.
Mzee wa Vekesheni Issa Michuzi wa pili kutoka kulia akifurahia siku yake ya kuzaliwa pamoja na mbunifu wa mavazi Khadija Mwanamboka wa kwanza kulia na wageni wengine wakati wa futari iliyoandaliwa jana na mwanablogu huyo kwenye mgahawa wa Chief Pride ulioko jijini Dar es salaam.


Juma Pinto na Benny Kisaka walikuwa ni miongoni mwa wageni walioalikwa katika besdei ya mzee wa Vekesheni Issa Michuzi.


Wageni jmablimbali walikuwepo katika bsdei hiyo ya Mdau Michuzi.


Wadau mbalimbali wakipata futari iliyoandaliwa na mwanavekesheni Issa Michuzi kwenye mgahawa wa Chief Pride jijini jana jioni.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment