DAWA NI KUBUNI MIKAKATI YA KUKUZA MCHEZO WA KIKAPU, SI KUCHEZA KWA KUJIFURAHISHA TU!!

Mchezaji wa Mpira wa Kikapu John Simkoko wa Chang'ombe Veteran, akipenya katikati ya walinzi Asha Kiluwa(kushoto) na jumanne kessa, wakati wa Mazoezi ya timu hiyo katika Uwanja wa Sigara TCC, Chang'ombe Dar es Salaam leo, ikiwa ni maandalizi ya kushiriki bonanza la timu za Veterani linalotazamiwa kufanyika mwishoni mwa mfungo wa Ramadhani.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment