Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda katikati akisalimiana na viongozi wa shirika lisilokuwa la kiserikali linalojihusisha na kutoa mikopo kwa wafanya biashara ndogondogo Prida Tanzania, wakati alipowasili katika banda hilo tayari kwa kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na wajasiliamali wa shirika hilo kushoto ni mwenyekiti wa bodi ya Pride Tanzania Mzee Idd Simba na kulia ni Meneja mkuu wa shirika hilo Tanzania Bi Shimimana Ntuyabaliwe
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Peter Pinda akisalimiana na mmoja wa wajasiliamali wanaowezeshwa kwa mikopo na shirika lisilokuwa la kiserikali la Pride Tanzania, wakati alipotembelea banda hilo ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo, katika kuwakopesha wafanya biashara ndogondogo kwenye maonyesho ya 33 ya biashara ya kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kirwa jijini Dar es alaam.
WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA ATEMBELEA BANDA LA PRIDE TANZANIA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment