Echessa amesema anajisikia furaha na amekuja kuifanyia simba mambo makubwa akishirikiana na wachezaji wenzake wa timu hiyo, Echessa ameongeza kuwa katika umoja kila kitu kinawezekana, na ana imani kubwa na Simba, wachezaji wa timu hiyo na kwamba anaamini kuwa atapata ushirikiano mkubwa kutoka kwa wachezaji wenzake, hivyo kuifanya simba ipate mafanikio makubwa msimu huu wa ligi kuu ya Vodacom inayotarajiwa kuanza mwezi Agosti na Mashindano ya kimataifa pia.
VIFAA VYA SIMBA SPORTS CLUB VYAANZA KUWASILI JIJINI TAYARI KUJIUNGA NA TIMU HIYO!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





1 comments:
naomba nirudie tena hii blog yako ndio maana aina watu wa kuchangia maoni kwasababu umezidi unazi sana weweee.. ni habari za simba tu ndio unaziona.. basi iite fullsimba...tuweelewe...sijawai kuona ata sikumoja umeandika habari za timu nyingine... badilika weweee... watu wengi wansoma blog nyingine lakini yako ni ya unaziiiiiiiiiiiii. ujumbe umekufikia......na hicho sio kifaaa bali na galasa hilo
Post a Comment