RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MKUU WA MAJESHI WA AFRIKA KUSINI!!

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa majeshi ya Tanzania na Afrika Kusini na maafisa wengine wa nchi hizi mbili wakati walipoonana na rais leo Ikulu kushoto ni Jenerali Godfrey Ngwenya Mkuu wa majeshi Afrika kusini na kulia ni Jenerali Davis Mwamunyange Mkuu wa majeshi wa Tanzania.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment