Meneja wa Kampuni ya Ndege ya KLM, anayemaliza muda wake nchini,Bw.Raymond Reedijk (kulia) akikata keki katika hafla ya kuadhimisha miaka 40 tangu KLM ianze kutoa huduma nchini. Hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam hivi karibuni, ilitumika pia kumuaga Reedijk pamoja na kumkaribisha Meneja mpya, Bw.Gabriel Braganza (kushoto).
Meneja wa Kampuni ya Ndege ya KLM, anayemaliza muda wake nchini,Raymond Reedijk (kushoto) akijiandaa kugongeana glasi yenye 'champaign' na Meneja mpya wa Kampuni hiyo katika hafla ya kuadhimisha miaka 40 tangu KLM ianze kutoa huduma nchini. Hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam hivi karibuni ilitumika pia kumuaga Meneja huyo pamoja na kumkaribisha Gabriel Braganza (Picha na Richard Mwaikenda).
0 comments:
Post a Comment