MICHAEL JACKSON ATAKUMBUKWA KWA VITUKO VYAKE!!

Hivi ndiyo vilikuwa vituko vya mwanamuziki maarufu wa Marekani Marehemu Michael Jakson katika sura hizi za bandia aliichagua moja ambayo ndiyo alikuwa akiitumia hebu angalia hizi picha mdau alafu tuambie ni ipi.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

4 comments:

  1. show some respect to the true king of pop guys pleeeease!

  2. ya chini kulia

  3. Du jamnai mbona mpo hivyoo?

    ina maana alikuwa anakaribia UNYANI??? mimi sijaona hata moja. Achei fitna. Ni kweli alijibadilisha lakini sio kihovyooo...Mmmh! mmezidi

  4. get a life! acha habari za kizushi show some respect for the dead!

Post a Comment