Wafanyakazi mbalimbali wa MEA Foundation na Stardard Chartered Bank wakichukua Vyandarua kwenye gari tayari kwa ajili ya kukabidhi kwa uongozi wa Hospitali ya Amana leo Taasisi ya MEA Foundation na Stardard Chartered zinafanya kazi kwa karibu katika mapambano dhidi ya Maleria na Benki hiyo imetenga kiasi cha dolla milioni 100 kwa ajili ya mapambano ya maleria .
Mkuu wa kitengo cha uhusiano Lucy Kiwele akifunga Chandarua katika wodi ya watoto Hospitali ya Amana kwa kusaidiana na Angelo Antony Mkuu wa masoko ya Jumla haonekani katika picha huku afisa uhusiano wa benki hiyo Hoyce Temu akiangalia.
Katibu muhtasi MEA Foundation Cecilia Mwalingo akifunga moja ya Chandarua huku mgonjwa akiwa amekaa kitandani mara baada ya benki ya Stardard Chartered kukabidhi vyandarua hivyo katika Hospitali ya Temeke MEA ni wadau wa karibu na Benki hiyo wanaotoa Elimua ya Maleria na kuratibu mwenendo mzima unaofanywa na benki hiyo katika kupamana na Maleria nchini.
Angelo Antony mkuu wa masoko ya Jumla wa Benki ya Starndard Chartered akikabidhi chandarua kwa Bw.Fulgens Elisakafu afisa kutoka Wilaya ya Kinondoni aliyemwakilisha mkuu wa Wilaya hio katikahafla ya kukabidhi vyandarua kwa ajili ya Hospitali ya Mwananyamala leo kati kulia ni Lucy Kiwele mkuu wa uhusiano na kati kushoto ni Mariam Njae mhasibu mkuu.
Maganga mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Sulleiman Muttani akifunga Chandarua katika wodi ya watoto kwenye hospitali hiyo mara baada ya kupokea msaada huo wa Vyandarua kutoka Benki ya Starndard Chartered Bank leo.
Wafanyakaza wa Benki ya Starndard Chartered na Taasisiu ya MEA Foundationa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa zoezi la kugawa Vyandarua vilivyotolewa na benki hiyo kwa Hospitali tatu za Wilaya za Twmeke, Ilala na Mwananyamala leo Jijini MEA ianaratibu na kutoa elimu juu ya maleria kwa kushirikiana na Starndard Chartered Bank.
0 comments:
Post a Comment