Mtuhumiwa wa 11 katika kesi inayowakabili akina zombe katika mahakama kuu ya Tanzania wakidaiwa kuwauwa wafanya biashara watatu kutoka mkoani Morogoro na dereva wa teksi koplo Lema amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya kansa Ocean Road alikokuwa amehamishiwa akitokea katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa awali.
Marehemu Kolplo lema ni shahidi muhimu katika kesi hiyo kutokana na maelezo yake aliyoyatoa awali katika kesi hiyo ambayo mshitakiwa wa kwanza ni Abdalla Zombe ambaye alikuwa mkuu wa upelelezi wa Dar es alaam na wakati mauaji hayo yakitokea alikuwa kaimu kamanda wa kanda ya Dar es alaam habari na picha kwa hisani ya http://issamichuziblogspot.com/
0 comments:
Post a Comment