Walikuwa wakitumia ujanja wa kuwauzia wakazi wa huko pakiyi za Panadol na plasta kwa gharama ya Shs 80, 000/- na kisha kujifanya wanakupa na zawadi ya Camera hii feki kwa mtindo mwingine vijana mbalimbali wafanya biashara ndogondogo maarufu kama wamachinga walipigwa changa la macho na kuuziwa matoy hayo ya Canera na wao wakawa wakiwauzia watu mbalimbali jijini na mikoani kama mnavkoona matoy hayo yameharibiwa rasmi na vyombo vinavyohusika.
JAMANI WAMESHAUMIZWA WENGI NA MATOY HAYA YA CAMERA!!
Posted by
ADMIN
Walikuwa wakitumia ujanja wa kuwauzia wakazi wa huko pakiyi za Panadol na plasta kwa gharama ya Shs 80, 000/- na kisha kujifanya wanakupa na zawadi ya Camera hii feki kwa mtindo mwingine vijana mbalimbali wafanya biashara ndogondogo maarufu kama wamachinga walipigwa changa la macho na kuuziwa matoy hayo ya Canera na wao wakawa wakiwauzia watu mbalimbali jijini na mikoani kama mnavkoona matoy hayo yameharibiwa rasmi na vyombo vinavyohusika.
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment