UKATILI HUU UNAOFANYWA NA BAADHI YA WANAWAKE KWA WATOTO WAO MPAKA LINI?

Maiti ya kitoto kichanga ikiwa imetupwa ndani ya jalala la shule ya Mtoni Sifa haikufahamika ni mwanamke gani ambaye amekitupa kichanga hicho FULLSHANGWE inaomba Radhi kwa kutumia picha hii lakini huu ndiyo ukweli wa ukatili unaofanywa na baadhi ya wanawake kwa watoto wao hii inasikitisha na sijui ukatili huu utaisha lini.
Wakazi wa Mtoni sabasaba wakiangalia maiti ya kitoto kichanga kilichotupwa na mwanmke ambaye hakufahamika katika jalala la shule ya msingi Mtoni Sifa jioni hii kuekuwepo na matukio mengi ya kutupa wattoto katika jiji la Dar es alaam.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. Mzee picha hii siyo nzuri, walau kabla ya kuiweka ungetoa "Warning" kwamba picha inaweza siyo kuwa nzuri kwa wengine.

Post a Comment