VIPENGERE 20 VYA KILI MUSIC AWARD VITAKAVYOPIGIWA KURA KUWAPATA WASHIRIKI VYATANGAZWA!!

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Oscar Shelukindo akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jana wakati wa kutangaza jinsi ya kumpendekeza mwanamuziki anayekuvutia katika Tuzo za 2009 Kili Music Awards jijini Dar es alaam kulia ni mwenyekiti wa Tuzo hizo John Muhina.
Oscar Shelukindo kushoto Meneja wa kinywaji cha Kilmanjaro akikabidhiana nyaraka na mwenyekiti wa baraza la sanaa (BASATA) Bw. Frowin Nyoni katika kufanikisha tuzo za Kilimanjaro Music Award katikati ni mwenyekiti wa Tuzo za Kilimanjaro Music Award John Muhina picha hii ilipigwa mwaka juzi, na katika kuhakikisha maandalizi ya tuzo hizo yanakwenda sawia katika mwaka huu 2009 jana katika mgahawa wa Hadees uliopo mtaa wa Azikiwe waandaji hao wa kilimanjaro Music Award walitangaza Vipengere vipatavyo 20 vitakavyopigiwa kura ili kuwapata washiriki watakaoshindanishwa katika Tuzo za mwaka huu alisema Oscar Shelukindo, FULLSHANGWE inawatakia maandalizi mema wandaaji wa tuzo hizo sisi kama wadau tuko nyuma yenu.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment