PATRICK PHIRI AENDELEA KUTOA DOZI KWA WACHEZAJI WAKE!!

Kocha mkuu wa timu ya simba Patrick Phiri kushoto akiwa na meneja msaidizi wa timu ya simba na mchezaji wa zamani wa timu hiyo Amri Said wakati timu hiyo ilipokuwa katika mazoezi jana katika uwanja wa Kinesi Ubungo Urafiki kwa ajili ya kujiandaa na michezo ya ligi kuu ya Vodacom iliyobaki
Kocha mkuu wa Simba Sports Club mzambia Patrick Phiri akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati timu hiyo ilipokuwa ikijifua jana jioni katika uwanja wa Kinesi uliopo Ubungo Urafiki, simba kwa sasa inajiandaa na michezo yake ya ligi kuu ya Vodacom iliyobakia na inapigania kufa na kupona angalau ipate nafasi ya pili kwani kutokana na msimamo wa ligi Yanga ndiyo wanaoelekea kuchukua ubingwa kwa mwaka huu huku timu za simba na kagera zikigombea kupata nafasi ya pili.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment