AH JAMANI USINGIZI NI POPOTE?


Hapa ni kama anasema "Mh. kwangu mimi popote ni kitanda naweza kulala na usingizi wangu ukaisha", Camera ya FULLSHANGWE ilimnasa jamaa huyu ambaye hakufahamika jina lake mara moja akiwa emeuchapa usingizi juu ya buti la gari kandokando ya Benki ya Posta tawi la Metropolitan mtaa wa Azikiwe hebu icheki hiyo mdau.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment