JAMANI TUWE WAANGALIFU BARABARANI!!

Uvunjaji wa Sheria za Usalama barabarani unachangia kwa kiasi kikubwa kutokea kwa ajali maeneo mbalimbali nchini na kusababisha vifo kwa watumiaji wa magari hayo na uharibifu wa mali kama inavyoonekana gari hii aina ya Toyota Stalet yenye namba za usajiri T 171 AVC likiwa limegongana na gari lingine halipo pichani ambalo lilikuwa likijaribu kukugeuza kwa kutumia sehemu ambayo waenda kwa miguu hutumia kuvuka barabara eneo la Mivinjeni barabara ya Kirwa juzi, FULLSHANGWE inawaomba madereva wote kufuata sheria za usalama Barabarani na kuwa waangalifu wanapokuwa barabarani.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment